Karibuni kwenye blog yetu Stop "n" Shop Electronics ambayo utapata electronic components kwa ajili ya repair za vifaa mbalimbali vya electronics na umeme, bidhaa ambazo tunauza ni transistors, IC mbalimbali, capacitors na nyingine nyingi tu ambazo ni adimu kuzipata hapa nchini sisi tunazo ili kuwezesha mafundi kurepair mashine na vifaa mbalimbali kwa urahisi bila wasiwasi wa uhaba wa spea.

Hasa hasa spea adimu za Power amplifier, Boosters, Mixers, Equalizers na Crossovers spea tunazo uza zipo za surface mounted device
(SMD) maarufu kama chawa, za dual inline pins(DIP) na single inline pins(SIP), tunazo Voltage Regulator, IC , resistors, DIP switch mbalimbali kama vile za Mixer na remote control za magari.

Comments